Select Menu

Slider

Hassbaby Mapacha. Powered by Blogger.

Advertise

Advertise

News

Bongo Fleva

Video

Gospel

Africa

Biashara

» » DOWNLOAD SOUDY BROWN A.K.A GOSSIP COP - HUONEKANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hii ngoma nimeifuma sehemu na nilipoisikiliza nimeikubali ipo fresh nikaona sio mbaya niki share hapa tukapata kuisikiliza wote, ni nyimbo ya muda kidogo.
Maelezo ya Soudy Brown -
"Hii ni moja kati Ngoma Rasmi nilizowahi kurelease inaitwa Huonekani, Inamzungumzia Kijana ambaye ametoka Home kutafuta na hajarudi nyumbani kwa Muda sanaaa, kwa hivyo anakumbushwa arudi japo kutoa salamu nyumbani hata kama hajafanikiwa, Imetaarishwa na Profesa Ludigo 2006, ndani ya Studio ya Big Sound Vingunguti chini ya Management ya Atef , Upanga 4 Life!!"
Soudy Brown a.k.a Uranium a.k.a GossipcopTz

About Hassbaby Mapacha

Asante kwa kutembelea Blog hii, tafadhari ungana nasi pia Instagram @Hassbabytz na Facebook Page Hassbaby
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Tangaza Hapa

Tangaza Hapa