MBEYA DAY DIAMOND JUBILEE ANNIVERSARY

MBEYA DAY DIAMOND JUBILEE ANNIVERSARY 
(1962 - 2012)

Maadhimisho ya miaka 50 ya Mbeya Day Secondary School yatafanyika shuleni 
Mbeya Day Tarehe 15 Dec 2012. Mgeni Rasmi atakuwa mwana Mbeya Day 
mwenzetu Ndugu Nehemia Kyando Mchechu.


Kwa wana Mbeya Day tulioko Dar na maeneo ya jirani tukutane Jumatatu, tarehe
10 Dec 2012 saa 11 - 2 jioni pale Jumba la Makumbusho ya Taifa opposite chuo 
cha IFM, mtaa wa Shaaban Robert Dar es Salaam. Lengo kubwa ni kuelimishana 
na kuchangia ujenzi wa maabara na nyumba za walimu pale shuleni.


Kwa maelezo zaidi tuma e-mail bmahenya@yahoo.com, 0716 954 840 au kwa 
Mkuu wa Shule 0784 842037, 0787 842037.

Usikiapo tangazo hili tafadhali wataarifu wengine!

NAJIVUNIA KUWA MWANA MBEYA DAY!
Previous
Next Post »

1 comments:

Click here for comments