Header Ads

CBE IMEPIGA MARUFUKU MAVAZI TAMANISHI

Chuo CBE kimetoa sheria yao mpya ambayo inapinga uvaaji wa mavazi tamanishi na kinyume na maadili ya Tanzania, mavazi hayo yamejielezea kwenye hiyo picha hapo na kuwataka wanafunzi kuvaa ki heshima, hii imetokea baada ya watu kulalamikia wanafunzi wa vyuo kuwa ndio wanaoongoza kwa mavazi yasiyo na heshima, na imeonekana sehemu nyingi ya vyuo vikuu wachuo wakiwa wamevaa nguo za Transparent zinazoonesha maumbile yao, wanaume kuvaa heleni na kusuka, n.k.
Powered by Blogger.