DIAMOND NA WEMA WARUDIANA

Habari zilizonifikia na zenye uhakika zinasema kuwa Diamond na Wema baada ya kuenea habari kuwa wameachana sasa imekuja mpya na kusema kuwa wamerudiana na wapo njiani kutoka Dododma kuja Dar. Wasanii hao ambao walivalishana pete ya uchumba wiki chache zilizopita na kupitia katika vikwazo vya hapa na pale, sasa wanasema wapo pamoja tena je, huu ni mchezo au kutafuta umaarufu?
Previous
Next Post »

6 comments

Click here for comments