WEMA ATUMBUIZA NA DIAMOND MORO


Kama kawaida yake Wema anapoingia mahali haachi vituko! Usiku wa kuamkia leo, ameacha gumzo mjini Morogoro baada ya kupamda stejini na kuanza kuimba pamoja na boyfriend wake Diamond, lakini hiyo isingetosha kama angeondoka jukwaani bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki waliofurika uwanja wa Jahmhuri kushuhudia burudani za Fiesta 2011!!!.

PICHA: Hisani ya Michuzi Jr.

Previous
Next Post »

1 comments:

Click here for comments