Header Ads

JOYCE KIRIA AJIFUNGUA DUME

http://3.bp.blogspot.com/-JLOeF7dsVUU/TfdhP02KwII/AAAAAAAAFXg/DSkIXFW9D4Y/s1600/jw.jpg

Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live Show kinachorushwa moja kwa moja na kituo cha eatv, Joyce Kiria amejifungua mtoto wa kiume kwa operesheni jumamosi hii, Baby boy huyo amepatiwa jina la Lincon.
Powered by Blogger.