Header Ads

DIAMOND AFUNGUA SHOP "WASAFI CLASSIC"


Wasafi Classic kwa nje

Diamond akiwa na Charls


Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ama Raisi wa Wasafi amefungua shop yake ya Mavazi kitaa cha Kinondoni Studio, ni moja ya ndoto na mafanikio ya Diamond kufungua Shop hiyo ambayo itamwezesha kuzidi kupiga hatua kutokana na kukuwa kwa kasi kwa Biznez ya Mavazi hapa nchini. Big Up kwako na kila la kheri broo...
Powered by Blogger.