JOYCE KIRIA ATUNZA MIMBA


Mtangazaji wa kipindi cha Bongo Movie Joyce Kiria yupo mapumzikoni ili aweze kupata muda mzuri wa kupumzika na kulea ujauzito wake, wapenzi wengi wa kipindi chake wame miss uwepo wake kwa muda huu ila kwa ajili ya hali hiyo inamuwia ngumu kuendelea ila tumuombee Mungu ajifungue salama na mtoto mwenye afya tele.
Previous
Next Post »